
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa kwa ubao kusoma Yanga 0-0 Simba. Ulikuwa ni mchezo mkali wa mzunguko wa pili na kufanya dk 180 kukamilika bila kufungana. Ule wa awali,ubao ulisoma Simba 0-0 Yanga hivyo katika msako wa pointi 6 wamegawana pointi mbilimbili. Mwamuzi wa kati Ramadhan Kayoko alionekana kuwa na presha mwanzo kabla ya…
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo kati ya Yanga v Simba, vinara wa Ligi Kuu Bara, wametaja idadi ya mabao ambayo wanaamini watashinda. Vinara wa ligi ni Yanga wenye pointi 54 na wamecheza mechi 20 wanafuatiwa na Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa na pointi 41 baada ya kucheza mechi 19. Ni…
MAMBO mengi yana mwisho na leo inaweza kuwa hivyo kwa kuwa watani wa jadi Yanga na Simba wanatarajiwa kumaliza zile kelele za kitaa nani mkali. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli aliweza kufanya mahojiano maalumu na Global Radio kwenye kipindi cha Krosi Dongo aliweka wazi mipango yao namna hii:- “Kwenye mechi za misimu mitatu tulianza…
WINGA wa kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho, amesema wala hana presha kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, huku akibainisha kwamba, anauchukulia mchezo huo kama mingine aliyowahi kucheza. Sakho ambaye amejiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu, amekuwa moja ya wachezaji bora ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango alichokionesha…
APRILI 30,2022 leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Simba. Huenda Pablo Franco, Kocha Mkuu wa Simba akapanga kete zake namna hii:- Aishi Manula Zimbwe Henock Inonga Joash Onyango Shomari Kapombe Pape Sakho Sadio Kanoute Jonas Mkude Clatous Chama Meddie Kagere Bernard…
DABI ya Kariakoo inasubiriwa kwa shauku kubwa ambapo kila timu inasaka pointi tatu muhimu. Huenda kikosi cha Yanga kikawa namna hii:- Diara Djigui Djuma Shaban Bakari Mwamnyeto Dickson Job Kibwana Shomari Yannick Bangala Farid Mussa Sure Boy Khalid Aucho Fiston Mayele Feisal Salum
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
LICHA ya kuweza kuongoza mpaka dakika ya 87,Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro imekwama kusepa na pointi tatu mazima. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Azam FC ambao ni wa ligi umechezwa leo Aprili 29,2022 Uwanja wa Nyankumbu. Ni mabao ya George Mpole dk ya 26 na anafikisha bao la 11 ndani ya…
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wamewasisistiza wachezaji wote wa timu hiyo kuweza kucheza kwa umakini ili kupata matokeo chanya mbele ya Simba.
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema anatambua mchezo wao dhidi ya Yanga utakuwa mgumu ila watajitahidi kupata ushindi ili kuwapa furaha mashabiki. Kesho Aprili 30,2022 Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa ligi kati ya Yanga v Simba
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kubadilisha mbinu dhidi ya Simba kutokana na ubora wa watani wao hao wa jadi. Kauli hiyo aliitoa mara baada ya Yanga kuingia kambini mapema wiki hii kujiandaa na mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Nabi amesema katika mchezo huo, wanakwenda…
Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwezi April na kuukaribisha mwezi Mei wikiendi hii, ligi kuu soka nchi mbalimbali nazo zinaelekea ukingoni mwa msimu wa 2021/22. Burudani ya soka siku zote inaonekana mwishoni mwa misimu, ni muda wa kuwekeana heshima viwanjani. Meridianbet tunanafasi ya kukuheshimisha zaidi kitaani kwako kwa kukupatia Odds na Bonasi kubwa kwenye…
MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba kutoka Tanzania kuchoma kitu katikati ya Uwanja ni jambo la aibu na si la kiuanamichezo. Motlanthe amesema kitendo hicho hakikubaliki na tayari kama Shirikisho tayari wameandika barua kwenda Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)…
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba wapo tayari kwa mchezo huo huku wapinzani wao wakiwa ni wa kawada tu. Kesho Aprili 30,2022 Yanga itawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote zinahitaji pointi tatu muhimu. Manara amesema kuwa…
AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amesema maandalizi ambayo watayafanya kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga utwapa matokeo chanya. Manula kwenye ligi amekaa langoni katika mechi 16 akiwa ameyeyusha dk 1,440 na ni mabao 7 kafungwa, hajafungwa kwenye mechi 9. Msimu huu Manula kafungwa bao moja kwa mfungaji kuwa nje…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa