
AZIZ KI KUVUNJA REKODI YA USAJILI YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast, Stephane Aziz Ki, huenda akavunja rekodi ya usajili ya beki wa kulia wa timu hiyo, Djuma Shaaban. Nyota huyo raia wa Burkina Faso inaelezwa yupo nchini Tanzania akiwa amefichwa na mabosi wa Yanga kwenye moja ya hoteli kubwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya…