AZAM FC KUWEKA CHIMBO LA SIKU 20 MISRI

Kikosi cha Azam FC leo Julai 22 kimeelekea Misri kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na Kombe la Shirikisho na kitaweka kambi jijini El Gouna, Misri kwa siku 20. Kabla ya kukwea pia kuelekea Misri Azam FC wao walianza kambi ya ndani kwa ajili…

Read More

KAMBI YA YANGA KIGAMBONI NI LEO

 MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga leo wanaanza kambi yao rasmi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Yanga chini ya Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi inaanza kambi hiyo ya ndani baada ya ule mpango wa kuweka kambi yao nchini Tunissia kusitishwa. Awali kambi yao ilitarajiwa kuwa nchini Tunissia lakini kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni…

Read More

ISHU YA UWANJA YAMSHANGAZA KOCHA,KESHO STARS KAZINI

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen amesikitishwa na kitendo cha Mamlaka za soka kuinyima ruhusa timu hiyo ya Taifa kupata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.  Poulsen amebainisha kuwa anajisikia vibaya na anshindwa kuelewa dhana ya kuinyima timu ya taifa faida ya kufanya mazoezi na maandalizi ya…

Read More

BEKI MPYA ATAMBULISHWA SIMBA LEO

RASMI leo Julai 22 Simba imemtambulisha beki mpya ambaye atakuwa kwenye kikosi chao kwa msimu wa 2022/23 katika mashidano ya kitaifa na kimataifa akichukua mikoba ya Pascal Wawa ambaye aliachwa rasmi na Simba. Simba wenyewe wamemuita beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chao…

Read More

BAADA YA KUFUNGIWA MANARA AFUNGUKA

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amepewa adhabu ya kufungiwa miaka miwili leo Julai 21. Adhabu hiyo imetokana na makosa ambayo amekutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania. Mbali na kufungiwa miaka miwili pia Manara amepewa adhabu ya kutoa faini ya shilingi milioni 20. Baada ya adhabu hiyo,Haji Manara ametoa kauli…

Read More

KIUNGO WA MALI KUONDOKA SIMBA

MZEE wa mikato ya kimyakimya,kiungo mgumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute huenda akauzwa ili apate changamoto mpya. Inaelezwa kuwa kiungo huyo amepata dili kutoka kwa timu za nje ambazo zinahitaji saini yake ikiwa ni pamoja na zile za nyumbani kwao Mali pamoja na Afrika Kusini. Kaizer Chiefs inatajwa kuwa miongoni mwa timu ambazo zinahitaji saini…

Read More

SAKHO BAO LAKE LAINGIA TATU BORA CAF

KIUNGO wa Simba Pape Sakho bao lake limeingia kwenye tatu bora kwa wale ambao wanaowania tuzo ya bao bora la CAF msimu wa 2021/22.  Kwa hatua hiyo bao la nyota huyo anayekipiga ndani ya Simba limepigiwa kura kiasi kikubwa na mashabiki wa Sakho ambao ni Watanzania pamoja na mashabiki wa mpira waliopo Tanzania na nje ya…

Read More

GEORGE MPOLE YUPO SANA GEITA GOLD

 GEORGE Mpole mtupiaji namba moja ndani ya ligi msimu wa 2021/22 baada ya kufunga mabao 17 huenda akasalia ndani ya Geita Gold. Awali alikuwa anatajwa kuibuka ndani ya timu zilizomaliza tatu bora kwa ajili ya kuwa hapo msimu wa 2022/23. Kocha wa Geita Gold,Felix Minziro aliwahi kusema kuwa kutokana na kiwango ambacho amekionyesha mchezaji huyo…

Read More

PAPE AWAOMBA MASHABIKI WAZIDI KUMPIGIA KURA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho amewaomba mashabiki na kila mmoja kuendelea na zoezi la kumpigia kura kwenye kipengele ambacho amechaguliwa kuwania tuzo ya bao bora la mwaka la CAF. Nyota huyo alifunga bao kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambapo alipachika bao hilo kwa mtindo wa tik taka, ilikuwa ni Uwanja wa Mkapa. Kwa sasa…

Read More

AIR MANULA NI MNYAMA MPAKA 2025

 KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo. Awali nyota huyo alikuwa anatajwa kuingia anga za Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na kulikuwa na mazungumzo na timu mbalimli. Kipa huyo ni chaguo la kwanza ndani ya Simba ambapo kwa sasa yupo…

Read More