SIMBA DAY YAZINDULIWA LEO MBAGALA

ZIMEBAKI siku nane kuweza kufika Agosti 8/2022 ambayo itakuwa ni siku ya Simba Day leo Uongozi wa timu hiyo umeweza kuzindua rasmi Wiki ya Simba katika Viwanja vya Mbagala Zakhiem,Dar. Miongoni wa waliokuwepo kwenye uzinduzi huo ambao umehudhiuriwa na mashabiki wengi wa Simba ni pamoja na Mtendaji Mkuu wa Simba,Barbara Gonzalez. Kwa mujibu wa Meneja…

Read More

FAMILIA YAMUONDOA BOSI YANGA

SENZO Mbatha aliyekuwa Kaimu Mtendaji wa Yanga hataongeza mkataba mwingine wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mkataba wake unaisha leo Julai 31 na kwa mujibu wa Yanga ni kwamba Senzo hayupo tayari kuweza kuongeza mkataba mwingine kuendelea kuitumikia timu hiyo. Saabu ya yeye kuondoka Yanga ni masuala ya kifamilia hasa kuwa mbali nayo kwa muda akiwa…

Read More

TAIF STARS YAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA

 TIMU ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Somalia ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu CHAN. Mabao ya Tanzania yamefungwa na Abdul Suleiman dk 33 na Dickson Job dk ya 67. Mchezo wa leo umechezwa Uwanja wa Mkapa ambapo Stars ilianza kufunga kipindi cha kwanza kupitia kwa Sopu…

Read More

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ameitikia ombi la Klabu ya Yanga na kuthibitisha kuwa atahudhuria katika wiki ya Mwananchi itakayofanyika Agosti 6, 2022 jijini Dar es Salam. Ikumbukwe kuwa, Juni 26, 2022, Pitso aliipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC na kufanyiwa gwaride…

Read More

JEMBE:TARIMBA HAHUSIKI SIMBA KUJIONDOA SPORTPESA

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally Jembe ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoenea mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa Abas Tarimba amehusika katika kukwamisha dili la Kampuni hiyo yakubashiri na Simba SC. Jembe amesema habari hizo si za kweli licha ya kwamba Tarimba ni mwana Yanga lakini Simba waliachana na dili la SportPesa…

Read More

UZI MPYA WA YANGA UNAPATIKANA KILA KONA SASA

LEO Julai 28,2022 Yanga imezindua uzi mpya ambao unatarajiwa kutumika kwa msimu wa 2022/23. Kwa mujibu wa Rais wa Yanga,Injinia Hersi Said amesema kuwa uzi huo kwa sasa unapatikana Tanzania nzima. “Jezi yetu mpya ambayo tumeizindua kwa sasa inapatikana kila sehemu kwa wale wa Dodoma wasiwe na mashaka uzi wetu tayari umefika kila sehemu Watanzania…

Read More

SIMBA WAONJA JOTO YA JIWE WANYOOSHWA KWA KUCHAPWA 2-0

ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wake aliopoteza nchini Misri unampa mwanga mpana wa kutambua ubora wa kikosi chake. Maki alishuhudia vijana wake wakinyooshwa kwa kupoteza kwenye  mchezo wa tatu wa kirafiki uliochezwa nchini Misri ambapo ni mabao 2-0 walifungwa dhidi ya Haras El Hodoud Katika mchezo wa kwanza waliambulia sare na…

Read More

KMC YASHUSHA PRESHA KWA MASHABIKI WAKE

UONGOZI wa KMC umewataka mashabiki wasiwe na presha juu ya usajili wao kwa kuwa wanajua kile ambacho wanafanya.  Kwa sasa KMC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekuwa ikiwapukutisha mastaa wake ambao mikataba yao imeisha na wengine kupata madili mapya kwa msimu ujao. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wanatambua kile ambacho wanakifanya…

Read More

SIMBA WAIVUTIA KASI YANGA NGAO YA JAMII

MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba,Ahmed Ally ameweka wazi kuwa wanatafuta pumzi ya moto ambayo itashushwa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wao wa Ngao ya Jamii. Simba imeweka kambi Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 na wanatarajia kurejea Agosti 3 kwa ajili ya maandalizi ya Simba Day,Agosti 8.  Ally amesema…

Read More