
VIDEO:TAZAMA NDINGA MPYA YA SIMBA QUEENS
HII hapa ndinga mpya la Klabu ya Simba Queens ambao wanaipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa
HII hapa ndinga mpya la Klabu ya Simba Queens ambao wanaipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa
OFISA Habari wa KMC, Christina Mwagala ameweka wazi kuwa sababu ambazo zimewafanya waweze kuwaondoa baadhi ya wachezaji katika kikosi hicho ni kufanya mabadiliko huku akibainisha kuwa mechi yao ya kirafiki dhidi ya Yanga licha ya kufungwa mabao 2-1 vijana wao walicheza pira la maana na kuwaachia salumu Yanga
TAARIFA iliyotolewa leo Septemba 2,2022 na Klabu ya Simba ni kuhusu kutangulia mbele za haki kwa daktari wa timu hiyo. Taarifa hiyo imeeleza namna hii: “Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu yetu ya wanaume (Senior Team) ambaye kwa sasa alikuwa daktari wa timu ya vijana (Youth Team). “Dkt. Yassin Gembe kifo…
KUKAMILISHA usajili wa nyota Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho kwenye mechi za ushindani. Huenda Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akaamua kuanza na nyota wake wapya amoja na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu uliopita wa 2022/23 kwenye mchezo wake mmoja wa ligi ama kitaifa. Nyota hao 11…
KEY Mziwanda ameweka wazi kuwa kuna watu wamekimbia mashindano hivyo watakutana nao kwenye ligi, amebainisha kwamba Simba ni timu kubwa anachojivunia ni uweza kufanya usajili mzuri wakiwa tofauti na mabingwa wa Yanga
MASTAA wa Simba ikiwa ni pamoja na Dejan, All Salim wamerejea Dar wakitokea Sudan walipoalikwa kwenye mashindano maalumu na kucheza mechi mbili za kimataifa
BAADA ya kurejea kutoka nchini Sudan kikosi cha Simba kesho kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar, Uwanja wa Mkapa. Simba ilialikwa kwenye michuano maalumu iliyoandaliwa na Al Hilal ambapo iliweza kucheza mechi mbili za kirafiki. Mchezo wa kwanza Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki alishuhudia timu hiyo ikishinda mabao 4-2…
MADILI yote ambayo yalikuwa yanatajwa juu yake mwisho yamezimwa na sasa ni rasmi mwaba Fiston Mayele bado yupo sana ndani ya Yanga. Nyota huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za timu kubwa Afrika ikiwa ni pamoja na Morocco, Afrika ya Kusini ambazo zilikuwa zinahitaji saini yake. Yanga wameamua kumpa dili lingine ambalo litamfanya adumu…
SHABIKI mkubwa wa Simba maarufu kwa jina la mzee Muchachu amefungukia juu ya Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars
AZAM FC kwa sasa ipo chimbo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6,2022, timu hiyo imewafuta kazi makocha wao ikiwa ni Moallin Abdi aliyekuwa kocha mkuu na kuwa chini ya kocha wa makipa kwa muda huku Jembe akitaja tatizo la timu hiyo lilipo
MWANDISHI Mkongwe wa masuala ya michezo Bongo, Saleh Jembe amebainisha sababu za Kim Polusen kufutwa kwenye benchi la ufundi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
TUISILA Kisinda kiungo wa spidi amesajiliwa Yanga huku habari zikieleza kuwa Simba dili lao la kuiasa saini ya Manzoki limekwama
TUISILA Kisinda amerejea kwa mara nyingine ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane. Nyota huyo raia wa DR Congo anasifika kwa soka la spidi na kuwa mmoja ya viungo ambao wana kasi kubwa wawapo uwanjani. Anakumbukwa namna alivyokuwa akiwapa tabu wapinzani wake alipokuwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na kumsababisha penalti…
Meridianbet kama ilivyo desturi na utamaduni wao wamekuwa wakijitahidi kushirikiana na jamii na kusaidia makundi yenye uhitaji na yanayokumbwa na changamoto mbalimbali. Jana Meridianbet waliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya wanaopambana kuachana na matumizi ya madawa hayo chini ya taasisi ya Pillimissana Foundation huko Kigamboni. Taasisi hiyo imeanzishwa takribani miaka kumi iliyopita, ikijishughulisha na watu…
ZORAN awa mbogo Simba, Mayele atafunga sana CAF ndani ya Championi Ijumaa
CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa atabadili mbinu kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Kocha huyo amekiongoza kikosi hicho kwenye mechi mbili na kushinda zote ugenini. IlikuwaPolisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezo ujao utakuwa ni wa kwanza kwa Nabi kuingoza…
MWANDISHI mkongwe wa masuala ya michezo kwenye ardhi ya Bongo Saleh Jembe amewataja wachezaji Simba ambao wanaweza kuachwa