
AZAM FC TATU ZAKE ZOTE UGENINI
KIKOSI cha matajiri wa Dar, Azam FC kina kete tatu ndani ya Septemba kwenye msako wa pointi tatu muhimu huku zote wakiwa ugenini kwenye dakika zote 270. Timu hiyo ilianza kwa kutupa kete mbili ikiwa Uwanja wa Azam Complex iliambulia pointi nne kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar na sare ya kufungana…