KAZI KIMATAIFA BADO NI NGUMU

MECHI za awali zimeanza kwenye mechi za kimataifa na tunaona wawakilishi wa Tanzania wameanza kupata matokeo chanya katika mechi za awali. Pia zipo ambazo zimepata matokeo ambayo walikuwa hawayahitaji wala kuyatarajia ni muhimu kupanga mipango upya kwa ajili ya mechi zijazo. Kila hatua ambayo inapigwa ni muhimu kufanya maandalizi mazuri kwa kuwa hakuna matokeo yanayopatikana…

Read More

SINGIDA BIG STARS YABANWA NA DODOMA JIJI

MEDDIE Kagere ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza kilichopangwa na Kocha Mkuu Hans Pluijm mwenye tuzo ya kocha bora kwa mwezi Agosti. Mchezo huo wa ligi umechezwa Uwanja wa Liti,baada ya dakika 90 ubao umesoma Singinda Big Stars 0-0 Dodoma Jiji. Mchezo wa leo Dodoma Jiji wamekamilisha wakiwa pungufu baada ya nyota wao…

Read More

NABI ANAAMINI KAZI HAIJAISHA KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi ipo kwenye mchezo wao ujao wa kimataifa dhidi ya Zalan FC. Jana, Septemba 10, ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ulisoma Zalan 0-4 Yanga huku wafungaji wakiwa ni Fiston Mayele aliyetupia mabao matatu na mzawa Feisal Salum aliyefunga bao moja. Ushindi huo ulipatikana…

Read More

NAMBA ZAKO ZA BAHATI ZINAWEZA KUBADILISHA KILA KITU LEO KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Keno ni moja ya mchezo ambao umejizolea umaarufu zaidi kwa urahisi wake na kuwatoa kimaso maso washindi. Nyumba ya mabingwa, Meridianbet, inakupa fursa ya ushindi na Keno. Bahati Nasibu ya Keno Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye…

Read More

SHABIKI WA SIMBA ASHINDA MAMILIONI YA M BET

SHABIKI wa Klabu ya Simba anayeishi mkoani Arusha, Joseph Marwa ameshinda sh 60, 321,350 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet. Marwa ambaye ni mjasiriamali amesema kuwa awali hakuwa na imani na michezo ya kubashiri kabisa mpaka alipofuatwa kukopwa fedha ya nauli  na…

Read More

YANGA WACHAPA 4G KIMATAIFA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Zalan 0-4 Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya awali. Mabao yote ya Yanga yamefungwa kipindi cha pili baada ya dakika 45 ubao kusoma Zalan 0-0 Yanga. Fiston Mayele ambaye katupia mabao matatu mwenyewe alianza kufunga bao la kuongoza dakika ya 47 na mengine…

Read More

BIG BULLETS 0-1 SIMBA, LIGI YA MABINGWA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali, Big Bullets 0-1 Simba. Ni mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kukamilisha dakika 45 akishuhudia bao la Moses Phiri dakika ya 28. Bao hilo amefunga kwa mtindo wa acrobatic akiwa ndani ya 18 kwenye mchezo huo wenye ushindani mkubwa

Read More

ZALAN 0-0 YANGA, UWANJA WA MKAPA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali, Uwanja wa Mkapa, Zalan FC 0-0 Yanga. Ni dakika 45 za nguvu kwa kila timu kuonyesha ubabe wake lakini hakuna ambaye ameweza kuona nyavu za mpinzani wake. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi anakwenda mapumziko kuwabadilishia mbinu wapinzani wake ambao nao wanahitaji ushindi.

Read More