
HII HAPA ORODHA YA MASTAA 25 WA AZAM FC KIMATAIFA
HIKI hapa kikosi kazi cha Azam FC ambacho kipo Libya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Akhdar ya Libya. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 8,2022. Ali Ahmada, Ahmed Salula, Zuber Foba ni kwa upande wa makipa. Mabeki ni Lusajo Mwaikenda, Nathan Chilambo, Bruce Kangwa, Agrey Moris,…