
NABI AWAPA MAAGIZO WACHEZAJI WAKE
KWENYE Ligi Kuu Bara, ukuta wa Yanga unaoongozwa na nahodha Bakari Mwamnyeto umeruhusu mabao matatu ya kufungwa huku safu ile ya ushambuliaji ikiwa imetupia jumla ya mabao 9. Kwa sasa Yanga ipo kwenye maandalizi ya mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hila unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Oktoba 8,2022…