HAWA HAPA NYOTA WA YANGA SC KUWAKOSA WAARABU
Wawakilishi wa Tanzania katika CAF Champions League Yanga SC, Novemba 28,2025 watakuwa na mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya JS Kabylie. Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Hocine Ait Ahmed Ijumaa kwa wababe hao kutoka kundi B kukutana uwanjani. Kuna orodha ya nyota ambao wataukosa mchezo huo dhidi ya Waarabu wa Algelia kutokana na…