
IBRAHIM AJIBU KUIBUKIA SINGIDA BIG STARS
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Simba na Azam FC Ibrahim Ajibu anatajwa kumalizana na mabosi wa Singida Big Stars. Nyota huyo uora wake aliokuwa nao Yanga alipomaliza kwa kutoa pasi 17 za mabao bado anautafuta kwa kuwa hajagotea namba hata 10 ya pasi za mwisho. Kwa sasa mzee wa makorokocho anatajwa kutua ndani ya Singida…