
AZIZ KI KIUNGO WA YANGA ‘OUT’
AZIZ KI nyota wa Yanga atakosekana kwenye mechi tatu zinazofuata kwa timu yake hiyo msimu wa 2022/23. Sababu ya nyota huyo kukosekana kwenye mechi hizo ni maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ambayo yametolewa kutokana na kikao cha Novemba 4,2022. Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 8,2022…