UCHAGUZI WA SIMBA JANUARI 2023

NOVEMBA 26,2022 Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Simba, Boniface Lyamwike ametangaza rasmi siku ya uchaguzi mkuu wa Simba kwenye nfasi mbalimbali. Lyamwike amesema:-“Nawatangazia wanachama wa Simba, wapenzi na mashabiki kwamba tarehe ya uchaguzi wa Simba itakuwa ni tarehe 29 Januari, 2023. “Mwaka huu kanuni ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa Simba ni kanuni za Simba Sports…

Read More

RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE YA DUNIA

NYOTA wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameweka historia kwa mara nyingine kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mbele ya Ghana. Ghana kutoka Afrika haikuwa na bahati kwenye mchezo uliochezwa Alhamisi baada ya kutunguliwa mabao 3-2. Nyota huyo alifunga kwenye mchezo huo na aligoma kujibu swali kuhusu kuondoka kwake ndani ya kikosi cha Manchester…

Read More

KANOUTE NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA

SADIO Kanoute ni miongoni mwa mastaa wa Simba ambao wapo na kikosi Moshi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania. Nyota huyu alikosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City kwa kuwa hakuwa fiti. Kwenye mchezo huo Simba ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na kugawana pointi mojamoja ugenini….

Read More

AZAM FC YAIVUTIA KASI COASTAL UNION

BAADA ya kumalizana na Namungo ugenini sasa kikosi cha Azam FC kinafanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Chini ya Kaimu Kocha Kali Ongala timu hiyo imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Edward Manyama akitumia pasi ya Ayoub Lyanga. Mchezo wa kwanza kwa Ongala kuwa benchi ilikuwa…

Read More

BANGALA. AZIZ KI TAYARI KUIKABILI MBEYA CITY

CEDRICK Kaze kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City kuna baadhi ya wachezaji ambao watarejea kutokana na kuwa na adhabu. Kesho Yanga ambao wamecheza mechi 48 za ligi bila kufungwa wana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mbeya City mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kaze amesema:”Aziz…

Read More

KIUNGO WA KAZI YANGA KUIWAHI MBEYA CITY

KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Aziz KI anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoivaa Mbeya City kwenye mchezo ujao wa ligi. Aziz KI alikosekana kwenye mechi tatu baada ya kufungiwa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) kwa kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu…

Read More

WINGA LA KAZI AFUNGUKA KUTUA YANGA

WINGA wa pembeni wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello ameweka wazi kuwa tayari kujiunga na Yanga endapo viongozi wa timu hiyo watakuwa tayari kuhitaji saini yake na kufanya mazungumzo kwa ajili ya kukamilisha dili hilo.   Okello mwenye umri wa miaka 22 ni moja kati ya wachezaji bora chipukizi kutoka nchini Uganda mwenye uwezo mkubwa…

Read More

MGUNDA:MBEYA CITY NI WAGUMU

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliweka wazi tangu awali kuwa mchezo wao dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu na matokeo ambayo wamepata yametokana na ushindani huo. Licha ya kupata bao la kuongoza dakika ya 14 Simba iliokota bao dakika ya 78 kupitia kwa Tariq Seif ambaye alifanya mpango wa timu hiyo kusepa…

Read More