
MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA MAPINDUZI NI MLANDEGE
MLANDEGE kutoka Zanzibar ni mabingwa wa Mapinduzi Cup 2023 baada ya kuitingua Singida Big Stars kwenye hatua ya fainali Uwanja wa Amaan. Ni ushindi wa mabao 2-1 walipata kwenye fainali iliyokuwa na ushindani mkubwa. Mabao kwenye mchezo huo yalifungwa na Bashima Saile dakika ya 7 na lile la ushindi lilifungwa na Abdulnassir Mohamed dakika ya…