SAKATA LA FEI TOTO NGOMA NZITO

FEI Toto nyota wa Yanga inatajwa kuwa ameongeza mwanasheria mwingine kwenye sakata ya kesi yake na Yanga. Kiungo huyo amemuongeza mwanasheria huyo baada ya kuomba, ‘review’ juu ya majibu ya kesi yake. Tayari majibu kuhusu sakata lake awali yalitolewa na Kamati Tendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusiana na shauri lake ambalo liliwasilishwa na…

Read More

MWAKA MPYA UMEANZA NA KIMBUNGA CHA ZAWADI KEM KEM JANUARI HII!

Mwaka mpya umeanza na Kimbunga cha zawadi kem kem Januari hii! Meridianbet Kasino itawafurahisha washindi 3 wenye bahati kwa kuwapatia zawadi mbalimbali, ni kwa kucheza michezo yeoyote ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbetkama vile Aviator, Titan Roulette, Titan Dice, Poker, God of Coins, Expanse Casino, Egyptian Buddha na mingine mingi. Mshindi wa Meridianbet Kasino Kujishindia…

Read More

DODOMA JIJI 0-1 SIMBA

LICHA ya ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kusoma Dodoma Jiji 0-1 Simba ukuta wa Simba unaonekana kuwa mzito kwelikweli. Bao la kuongoza ndani ya dakika 45 za mwanzo limefungwa na Jean Baleke dakika ya 45 akitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Dodoma Jiji. Dodoma Jiji wanaonekana kuwa na kasi kuitafuta ngome ya kipa…

Read More

KIKOSI CHA DODOMA JIJI DHIDI YA SIMBA

KWENYE kikosi cha Dodoma Jiji ambacho kinatarajiwa kumenyana na Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara nyota Hassan Kessy ameanza benchi. Hiki hapa kikosi cha kwanza:- Danny Mgore Fadhil Ngalema Augustino Justine Nkosi Mwana Muhsin Opare Mwaterema Martin Akiba Kalambo Kibacha Adeyum Kessy Mgalula Kyata Raizin Zidane Karihe

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI RUVU SHOOTING KWA MKAPA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting, Cedrick Kaze kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo huo. Kesho Yanga inatarajiwa kumenyana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa. Cedrick amesema wanatamua utakuwa ni mchezo mgumu lakini wapo tayari ili kupata…

Read More

MTAMBO WA MABAO SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI

KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba, nyota wa timu hiyo Clatoous Chama hatakuwa sehemu ya kikosi. Chama ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mabao akiwa ametoa asi 12 na kufunga mabao matatu. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City nyota huyo alitoa pasi…

Read More

NYOTA HUYU WA DODOMA JIJI TARATIBU ANAKUJA

MIONGONI mwa vijana wanaokipiga ndani ya Dodoma Jiji kwa wakulima wa Zabibu ni pamoja na Zidane Omary Sereli. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar alianza benchi akisoma mchezo utakavyokuwa. Katika mchezo wa wa Januari 14 dhidi ya Geita Gold alianza kikosi cha kwanza. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu, Geita Dodoma Jiji ilipoteza…

Read More

BONANZA SEKTA YA UCHUKUZI USHINDANI MKUBWA

NAIBU Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete alikuwa mgeni rasmi ambaye amezindua bonaza la Watumishi Sekta ua Uchukuzi. Bonanza hilo limefanyika leo Januari 21,2023 katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar. Michezo ya awali ilikuwa ni pamoja na kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia, mpira wa pete na mpira wa miguu pamoja…

Read More

WIKIENDI YENYE MECHI KUBWA NA KALI LIVERPOOL VS CHELSEA, ARSENAL VS MAN UTD, MAN CTY VS WOLVES, SERIE A KUTAWAKA MOTO NA LA LIGA NI BARCA NA REAL MADRID

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi. Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto…

Read More

YANGA YAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo awali ulitarajiwa kuchezwa Januari 21 lakini umepelekwa mbele mpaka Januari 23,2023 Uwanja wa Mkapa. Kamwe amebainisha kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kupata ushindi. “Moja ya…

Read More