SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE UHURU

MACHI 2 2023 kikosi cha Simba kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya African Sports. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru kwa kuwa Uwanja wa Mkapa unafanyiwa maboresha na utatumika kwa mechi za kimataifa. Simba inaingia kwenye mchezo huo ikiwa inakumbuka kwamba ilitinga hatua hiyo kwa ushindi wa…

Read More

YANGA HAWA HAPA NDANI YA DAR, AHADI KAMA ZOTE

MSAFARA wa Yanga umewasili leo Dar ukitokea Mali ulipokuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao ni wa hatua ya makundi. Katika mchezo huo Yanga iligawana pointi mojamoja kwa ubao kusoma Real Bamako 1-1 Yanga baada ya dakika 90. Ni Fiston Mayele alipachika bao kwa upande wa Yanga kwenye mchezo huo…

Read More

MTIBWA SUGAR WANYOOSHWA UWANJA WA LITI

IKIWA Uwanja wa Liti, Singida kwa wakulima Alizeti Mtibwa Sugar iliacha pointi zote tatu mazima. Kwenye mchezo huo uliochezwa Februari 27,2023 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti ulisoma Singida Big Stars 2-0 Mtibwa Sugar Ni Rodrigo alianza kuwatungua Mtibwa Sugar wenye Duchu ilikuwa dakika ya 12 kisha mwamba kabisa Meddie Kagere huyu…

Read More

KMC WANAPITA KWENYE MATESO DAKIKA 630

CHINI ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery kikosi cha KMC kimepita kwenye dakika 630 za mateso kwa kukwama kusepana pointi tatu zaidi ya katika mechi 7 mfululizo. Mechi moja pekee KMC iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi tano wakiambulia kichapo mazima. Kwenye msako wa pointi 21 ni…

Read More

BOSI MPYA SIMBA HUYU HAPA

KWA mara nyingine tena Salim Abdallah Muhene wengi wanapenda kumuita Try Again atasalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba. Februari 27, Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji amemteua tena Salim Try Again kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Mo amesema ana imani na Mwenyekiti Muhene kuwa ataiongoza Simba kufikia…

Read More

TZS 350,000,000 KUTOLEWA NA MERIDIANBET NA WAZDAN UNASUBIRI NINI KUCHEZA?

Haijawahi kuwa ya kuvutia kiasi hiki, zawadi za jumla ya TZS 350,000,000 kushindaniwa kwenye michezo ya sloti inayotolewa na Wazdan katika chimbo lako pendwa la kasino Meridianbet Tanzania, unashiriki ukiwa na nafasi ya kujishindia mgao wako katika zawadi nono zinazotolewa, Kupaswi kukosa hii ni kubwa sana inaweza kubadili kila kitu leo. Zawadi nono ya TZS…

Read More

KOSI LA YANGA DHIDI YA REAL BAMAKO KIMATAIFA

NI leo ndani Stade du 26 Mars, Bamako Yanga wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako. Kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Djigui Diarra Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Dickson Job Khalid Aucho Jesus Moloko Yannick Bangala Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Akiba ni Metacha Mnata Doumbia Kibwana Mauya Sure Boy…

Read More

YANGA :TUNAHITAJI MAOMBI KIMATAIFA

IKIWA leo inatarajiwa kutupa kete yake ya tatu kimataifa dhidi ya Real Bamako mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika benchi la ufundi limeomba dua kutoka kwa Watanzania. Yanga ipo nafasi ya pili kwenye kundi D baada ya kucheza mechi mbili imekusanya pointi tatu sawa na TP Mazembe wakiwa tofauti kwenye mabao ya kufunga na kufungana….

Read More

SIMBA NDANI YA DAR

BAADA ya kukamilisha dakika 90 za kimataifa ugenini tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar. Februari 25,2023 kilishuka Uwanja wa St Mary’s kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Vipers 0-1 Simba huku mtupiaji akiwa ni Henock Inonga aliyepachika bao…

Read More

KMC YAPOTEZA KWA MARA NYINGINE TENA

IKIWA ugenini leo Februari 25 imepoteza kwa mara nyingine tena ukiwa ni mchezo wa ligi. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Azam FC 1-0 KMC. Ni mchezo wa pili mfululizo KMC kupoteza ikiwa Dar katika msako wa pointi tatu ikiwa inaongozwa na nahodha Emmauel Mvuyekule. Ilitoka kunyoshwa bao 1-0 dhidi…

Read More