
SIMBA YAFUNGASHIWA VIRAGO LIGI YA MABINGWA AFRIKA
NGOMA imegota mwisho kwa wawakilishi wa Tanzania Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuondolewa na mabingwa watetezi wa taji hilo Wydad. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mohamed V umesoma Wydad Casablanca 1-0 Simba na kufanya matokeo ya jumla kuwa Wydad 1-1 Simba, Ikumbukwe kwamba Simba ilipata ushindi wa bao 1-0 Uwanja…