AZAM FC KUSUKA KIKOSI CHA KAZI KUIMALIZA SIMBA

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa watapata muda wa kuunda mpango kazi kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi ijayo dhidi ya Simba. Timu hiyo inatarajiwa kumenyana na Simba mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation, Uwanja wa Nangwanda ambapo bingwa mtetezi ni Yanga. Yanga wao watacheza hatua…

Read More

KMC YAPIGA HESABU HIZI HAPA

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa mechi tatu ambazo zimebaki wanahitaji matokeo ya ushindi kufanikisha malengo ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara. Timu hiyo ina pointi 26 imecheza mechi 27 kwenye msimamo ipo nafasi ya 14 vinara ni Yanga walio nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 68. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema…

Read More

MASTAA HAWA SIMBA WAPENYA KUWANIA TUZO

KIPA namba tatu wa Simba, Ally Salim ameingia kwenye mchakato wa kuwania tuzo ya mchezàji Bora wa mashabiki Kwa mwezi Aprili. Hiyo ni tuzo maalumu inayotolewa ndani ya Simba kwa udhamini wa Emirate Aluminium Profile. Ni mechi nne kakaa langoni Salim ambapo upepo unaoyesha kuwa anaweza kusepa nayo. Ni Jean Baleke na Kibu Dennis hawa…

Read More

IJUE SABABU YA MABAO 10 YA SIMBA KUWEKWA BENCHI

BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa sababu ya mtambo wao wa mabao Moses Phiri kujenga ushikaji na benchi ni kutokuwa fiti asilimia 100 baada ya kupata maumivu. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele wa Yanga ambaye ametupia mabao 16 kwenye ligi msimu huu wa 2022/23. Phiri katupia mabao 10 kibindoni kwenye ligi akiwa…

Read More

YANGA GEREZANI WAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA

MWENYEKITI wa Tawi la Yanga, Gerezani, Kariakoo, Hassan Sasama amesema kuwa mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Mkapa kulipa kisasi mbele ya Rivers United katika mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Rivers United. Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Rivers United ikiwa ni robo fainali ya pili wana faida…

Read More

WYDAD 1-0 SIMBA

UBAO wa Uwanja wa Mohamed V unasoma Wydad 1-0 Simba. Safu ya ulinzi ya Simba imekwama kuwazuia Wydad Casablanca kwa kusababisha kosa la kona ambalo limeigharimu timu hiyo. Junior Boll kaonyesha ukomavu wake mbele ya ukuta wa Simba na kupachika bao la kuongoza dakika ya 23. Huu ni mchezo wa maamuzi utakaotoa picha nani atasonga…

Read More

SIMBA YATAMBIA MFUMO WAKE

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa timu hiyo inacheza mchezo wa kisasa jambo linalowapa matokeo kwenye mechi ambazo wanacheza kitaifa na kimataifa. Simba imecheza jumla ya mechi 19 mfululizo za ligi bila kupoteza na timu ya mwisho kuifunga ilikuwa ni Azam FC mtupiaji akiwa ni Prince Dube Uwanja wa Mkapa. Kwenye mechi nne…

Read More

AZAM FC MACHO YOTE NUSU FAINALI

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ni muhimu kupata ushindi ili wasonge mbele hatua inayofuata. Ni nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei 6,2023 Uwanja wa Nangwanda,Mtwara.Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…

Read More

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO AZAM FC

MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi 15 akifunga mabao manne na ametoa pasi 7 za mabao moja kati ya hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa. Nyota huyo kahusika kwenye…

Read More