
PACOME ATEMBEZA MKWARA HUKO
KIUNGO wa Yanga, Pacome amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani wakiwa hawana muda wakupoteza kwa sasa. Katika mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-5 Yanga huku Pacome akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo na alitoa…