
VITA MPYA IMEIBUKA YANGA V SIMBA
WAKATI vita ya ubingwa ikiwa imefungwa kwa Yanga kufanikisha lengo la kutwaa ubingwa suala la kiatu cha ufungaji bora kwa sasa kina sura mpya. Ni Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga huyu anaongoza kwenye orodha akiwa ametupia mabao 16 na pasi tatu za mabao. Anayemfuatia ni Saido Ntibanzokiza wa Simba mwenye mabao 15 kibindoni na pasi…