MAOKOTO DEILEE YA SPORTPESA MSHINDI KUTOKA ARUSHA AKOMBA MILIONI 15

 KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri SportPesa kwa ushirikiana na mtandao wa Tigo kupitia huduma ya TigoPesa  Oktoba 10 waliwazawadia washindi wanne zawadi. Katika washindi hao washindi wawili wamejishindia simu janja huku mmoja akikomba shilingi   1,000,000 na Diatus Ishengoma amefanikiwa kuwa mshindi wa shilingi 15,000,000 wa kampeni ‘Maokoto Deilee’. Mshindi wa milioni 15 za…

Read More

KOCHA YANGA AWAPA ANGALIZO MASTAA WAKE CAF

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa baada ya kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wana kazi kubwa ya kufanya. Tayari Yanga wameshatambua kundi ambalo watakuwa kupambania pointi likiwa ni pamoja na Al Ahly ya Misri kwenye kundi hilo.  Yanga ilikuvunja rekodi ya kufuzu hatua hiyo baada ya miaka 25…

Read More

PANAPOVUJA PAMEONEKANA NI MUDA WA KUJIPANGA UPYA

BAADA ya mechi tano za Ligi Kuu Bara kuchezwa tayari pale ambapo panavuja pameshatambulika. Makosa ya timu kwenye dakika 90 yalionekana na benchi la ufundi liliona hivyo ni muda wa kufanyia kazi. Wapo ambao lawama wanazikimbiza kwa waamuzi, hili nalo linapaswa kufanyiwa kazi. Wachezaji nafasi zile za dhahabu wanazozipata ni muhimu kuzitumia. Kawaida kila baada…

Read More

HASSAN MWAKINYO AKUTANA NA RUNGU ZITO

ADHABU ya kifungo cha mwaka mmoja ipo juu ya Hassan Mwakinyo, ambaye  amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda huo. Mbali na kifungo hicho anapaswa kulipa faini ya shilingi milioni moja, kwa kosa la kugoma kupanda ulingoni katika Usiku wa Viwango, Septemba 29 2023. Uamuzi huo umefanywa na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) kupitia kamati…

Read More

NYOTA HAWA WATATU SIMBA KWENYE VITA YAO

WACHEZAJI watatu wanawania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Simba kwa Septemba, 2023 ikiwa ni  vita yao nyingine kumpata mbabe wao. Ndani ya Septemba timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ilifungua pazia la ligi kwa kupata pointi tatu muhimu. Ilikuwa ni kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro na ubao ukasoma…

Read More

URAHISI WA MAISHA NI KUCHEZA BLACKJACK LIVE

Mchezo wa Blackjack Live        Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino Mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa Karata bila shaka watakutajia na huu mchezo kuwa ni pendwa Zaidi kwa wengi. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwa kutumia kibunda chenye…

Read More

GAMONDI: TUTAWAFURAHISHA CAF NA KUPATA USHINDI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwatambua wapinzani wao katika hatua ya makundi watacheza kwa kutafuta ushindi na kuwafurahisha mashabiki. Makundi CAF yalipangwa Oktoba 6 Afrika Kusini na Yanga ikipangwa kundi D ikiwa na timu za Al Ahly ambao ni mabingwa watetezi, CR Belouizdad ya Algeria,…

Read More

KAZI KIMATAIFA NI KUBWA MIPANGO MUHIMU

BAADA ya makundi kupangwa kwa sasa ni muda wa kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika hakuna kubeba matokeo mfukoni wala kuamini kwamba uzoefu utawabeba katika kupata ushindi hilo halipo. Kuanza kubeba matokeo wakati huu na kujipeleka hatua ya robo fainali anguko linakuja. Hakuna…

Read More

PIRA PAPATUPATU LAKOMBA POINTI UGENINI

KUTOKANA na mashabiki wa Simba kueleza kuwa mpira unaochezwa kwa sasa chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mwendo wa papatupapatu, hivyo zimejibu na kupata ushindi ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti umesoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba. Bao la Saido Ntibanzokoza dakika ya 26 lilikuwa la mipango na bao la…

Read More

MKWANJA WA MAMA MIKONONI MWA TIMU YA TAIFA

KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa ameikabidhi timu ya Twiga Stars kitita cha Sh. Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan. Hiyo ni kufuatia ushindi waliopata dhidi ya timu ya Ivory Coast uliowawezesha kufuzu michuano ya WAFCON 2024. Akikabidhi fedha hizo, Katibu Mkuu Msigwa…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE 1-12SIMBA

UBAO wa Uwanja wa Liti umesoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Bao la uongozi kwa Simba limepachikwa na Saido Ntibanzokiza dakika ya 26 lililomshinda Beno Kakolanya. Ni pasi ya Kibu Dennis ambaye amekuwa kwenye dakika 45 bora za kipindi cha kwanza ugenini. Deus Kaseke ni yeye aliweka usawa…

Read More

SIMBA MIKONONI MWA SINGINDA FG NA MSAKO WA REKODI

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa wanahitaji kuendelea na rekodi zao za kupata matokeo kwenye mechi za ligi ikiwa ni pamoja na mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate. Leo Simba inatarajiwa kushuka kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti. Huu utakuwa ni mchezo…

Read More

YANGA: LIGI BADO MBICHI KABISA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa bado ligi ni mbichi wana muda wa kuendelea kupambana katika kutimiza malengo yao ya kutwaa ubingwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi baada ya kutwaa msimu wa 2022/23. Ipo chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Gamondi baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye mechi tano ni shuhuda…

Read More

NGOMA NYINGINE KWA MTIBWA SUGAR HII HAPA

KETE inayofuata kwa Mtibwa Sugar kwenye Ligi Kuu Bara ni dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine ikiwa ni mzunguko wa kwanza. Ikumbukwe kwamba Mtibwa Sugar yenye Yassin Mustapha imetoka kupoteza kwenye mchezo uliopita dhidi ya Singida Fountain Gate. Tanzania Prisons nao wametoka kupoteza mchezo wao dhidi ya Simba walipokuwa nyumbani.

Read More