
YANGA 2-0 ASAS DJIBOUT
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Azam Complex ubao unasoma Yanga 2-0 ASAS Djibout. Ni dakika 45 za burudani kwa Wananchi ambapo wameshuhidia bao la kwanza likifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 7 akiwa ndani ya 18. Kazi ya pili inayowapeleka Yanga mapumziko wakiwa mbele ni mguu wa Konkoni dakika ya 44 akiwa…