
ANAKUJA YANGA MSHAMBULIAJI HUYU KUFANYA KAZI
TAARIFA kutoka ASEC Mimosas zimeeleza kuwa Yanga imefikia hatua nzuri ya mazungumzo kuhusu mchezaji Sankara Karamoko. Yeye ni mshambuliaji ambapo kama mambo yatakwenda sawa anaweza kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga kuanza changamoto mpya.