EUROPA LEAGUE Kukutajirisha Leo

Alhamis ya Europa league imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Manchester United ya Amorim watakiwasha dhidi ya Real Sociedad katika dimba la Old Trafford huku mechi ya kwanza kukutana, walitoshana nguvu hivyo mechi hii ya…

Read More

KAPOMBE: HAIKUWA KAZI RAHISI KUSHINDA

SHOMARI Kapombe beki wa Simba amesema kuwa walikutana na ushindani mkubwa kutoka kwa wapinzani wao TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora CRDB Federation Cup uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo Machi 11 2025 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 TMA Stars kwa mabao ya Valentin Nouma dakika ya…

Read More

YANGA YATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao Coastal Union wanahitaji pongezi kwa kuwa sio jambo rahisi kupeleka timu kukabiliana na Yanga. Ujumbe huo ni kama dongo kimtindo kwa watani zao wa jadi Simba ambao Machi 8 2025 mchezo wao wa Kariakoo Dabi ulighairisha kutokana na kile ambacho Simba walieleza kuwa hawakupewa nafasi…

Read More

MOTSEPE ASHINDA URAIS CAF HADI 2029!

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe, amechaguliwa tena kuliongoza Shirikisho hilo kama Rais kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Motsepe ambaye amekuwa Rais wa Shirikisho hilo tangu mwaka 2021, sasa atasalia katika kiti hicho mpaka mwaka 2029 Kwa awamu ya pili mfululizo. Uchaguzi huo umefanyika leo Machi 12,2025 jijini…

Read More

KOCHA SIMBA AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa pongezi kubwa kwa wachezaji wake kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya TMA Stars ambao ulikuwa na ushindani mkubwa. Machi 11 2025 Simba ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya TMA Stars ilikuwa ni Uwanja wa KMC, Complex. Baada ya dakika…

Read More

SLOTI YA LUCKY DOLPHIN KASINO YENYE MANDHARI YA BAHARINI

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasino mtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwa Lucky Dolphin. Lucky Dolphin ni sloti ya kasino mtandaoni…

Read More

UWANJA WA MKAPA WAFUNGIWA, SIMBA HATIHATI KUCHEZA KIMATAIFA

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na eneo la kuchezea kuendelea kupungua ubora wake hivyo kuna hatihati ikiwa maboresho hayatakamilika mapema wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba kutoutumia uwanja huo. Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa CAF imeelekeza eneo hilo liboreshwe haraka kufikia viwango…

Read More