
MANCHESTER UNITED YAMEWAKUTA TENA
MANCHESTER United mkeka umechanika tena baada ya kupoteza dhidi ya Manchester City kwenye Dabi mbele ya Newcastle United wamepoteza tena. Mwendo wa timu hiyo kwa sasa haupendezi ambapo mabosi wanatajwa kufikiria kuachana na Kocha Mkuu, Ten Hag ambaye alikuwa anapewa nafasi ya kufanya makubwa ndani ya kikosi hicho. Uwanja wa Old Trafford umesoma Manchester United…