
SENEGAL MABINGWA WA AFCON 2021
SENEGAL ni mabingwa wa AFCON 2021 kwa ushindi wa penalti 4-2 baada ya dakika 120 kukamilika bila kufungana dhidi ya Misri kwenye bonge moja ya fainali. Mshindi alipatikana kwa mikwaju ya penalti ambapo ni Senegal walianza kupiga kupitia kwa Coulibary ambaye kufunga penalti hiyo ya kwanza. Coulibary alifunga penalti ya kwanza kwa Senegal na Zizou…