
BACELONA YAPIGIKA NYUMBANI LA LIGA
Bao la dakika za jioooni la Alexander Sorloth limeipatia Atletico Madrid pointi zote tatu dhidi ya Barcelona katika dimba la Olímpic Lluís Companys na kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Uhispania (Laliga). Atletico Madrid imefikisha pointi 41 baada ya mechi 18 huku Barcelona ikiporomoka mpaka nafasi ya pili pointi 38 baada ya mechi 19….