
PUMZIKA KWA AMANI LEGEND PELE
GWIJI wa soka wa Brazil Pele, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa wakati wote, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Mshambulizi huyo wa zamani, ambaye ndiye mchezaji pekee katika historia kushinda vikombe vitatu vya Kombe la Dunia, aliaga dunia katika hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo kufuatia kuugua saratani. Pele, ambaye ni…