
MESSI KWENYE KIBARUA KIGUMU KOMBE LA DUNIA
STAA wa timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi endapo atafanikisha kukiongoza kikosi chake leo Desemba 13,2022 kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Dunia ataandika rekodi yake nyingine kwenye upande wa michuano hiyo mikubwa. Messi ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa ya Argentina leo ana kazi ya kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa…