MANCHESTER UNITED IMEMTEUA AMORIM KUWA KOCHA MPYA
Manchester United wamemchagua kocha wa Sporting, Ruben Amorim kuwa meneja wao mpya. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atahamia Old Trafford kutoka klabu ya Lisbon mnamo Novemba 11, ametia saini mkataba hadi Juni 2027. Mshambulizi wa zamani wa United Ruud van Nistelrooy, ambaye alichukua jukumu la kuinoa kwa muda baada ya Erik ten…