Mashindano ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Yachukua Sura Mpya Afrika
Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Afrika yamezidi kunoga leo, huku mataifa kadhaa yakipambana vikali kusaka tiketi ya kuelekea Marekani, Kanada na Mexico mwaka 2026. Wakati vita ya pointi ikiendelea viwanjani, Meridianbet wapo mstari wa mbele kuhakikisha kila shabiki na mbashiri anapata fursa ya ushindi kupitia odds kubwa zaidi sokoni. Mchezo wa Kwanza ni…