
SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MPANZU MKATABA WAKE
WINGA wa Simba SC ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi hicho kinachotarajiwa kucheza mchezo wa hatua ya fainali dhidi ya RS Berkane, Mei 17 2025 anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga SC kutokana na taarifa kueleza kuwa yupo hapo kwa mkopo. Baada ya taarifa hizo kuenea uongozi wa Simba SC umebainisha kuwa hakuna…