Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri, Orodha Ipo Hapa – (Picha +Video)
Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza leo Novemba 17, 2025 Baraza jipya la Mawaziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Tangazo hilo limekuja kufuatia mabadiliko ya kiutendaji na mapitio ya baadhi ya wizara yaliyolenga kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kasi ya utekelezaji wa mipango ya serikali….