Ibrahim Bacca Afungiwa Mechi 5 Baada ya Rafu Mbaya
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) limemchukulia hatua mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumchezea rafu mbaya mchezaji wa Mbeya City, Ibrahim Ame, kitendo kilichotajwa kuwa cha kuhatarisha usalama wa wachezaji. Kwa mujibu wa Kanuni ya 41:21 ya Ligi Kuu, Abdullah amefungiwa mechi tano (5) mfululizo, adhabu ambayo ni…