Zijue mechi ambazo atasikosa beki wa Yanga SC Ibrahim Bacca
Mechi ambazo atazikosa beki wa Yanga SC, Ibrahim Bacca ambayale alipata adhabu ya kufungiwa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Adhabu hii ilitolewa Oktoba 3 2025 baada ya kikao cha kamati na ikumbukwe kwamba mchezo ulichezwa Septemba 30 2025 ubao wa Uwanja wa Sokoine ukasoma Mbeya…