ALLY KAMWE ATANGAZA BOMU JIPYA YANGA – MC ALGERS WAMEKULA NYOYA – AFICHUA SIRI za NDANI za TIMU- VIDEO
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe amefunguka na kueleza kuwa walitegemea wapinzani wao MC Alger walitarajiwa kufika asubuhi ila hawajafika. “Hakuna kiumbe hai yeyote anayetudai Yanga tumelipa madeni wachezaji na makocha wanaotudai, tumefunguliwa kusajili” Ali Kamwe. “Taarifa ambazo tunazo ni kuwa wapinzani wetu walipaswa kuingia nchini alfajiri ya kuamkia leo, lakini mpaka…