
MUTALE, AIR MANULA, MUKWALA OUT SIMBA, SABABU IPO HIVI
MASTAA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids wanatarajiwa kuukosa mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos, kutokana na sababu za kiufundi. Ikumbukwe kwamba katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa wa hatua ya makundi ulipowakutanisha Simba na Bravos, pointi tatu zilibaki Dar. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma…