BREAKING:OLE GUNNAR AFUTWA KAZI MANCHESTER UNITED
RASMI leo Novemba 21 Klabu ya Manchester United imethbitisha kuachana na Ole Gunnar Solskjaer ambaye ataondoka ndani ya timu hiyo kwenye majukumu ya kuwa kocha baada ya kushindwa kushinda taji lolote ndani ya miaka mitatu na Michael Carrick atachukua mikoba yake kwa muda kabla ya kocha mpya kuchaguliwa atakayemaliza msimu huu wa 2021/22. Solskjaer alisaini…