CHELSEA YACHAPWA 3-2 LIGI KUU ENGLAND
TIMU ya Chelsea leo imeonja joto ya jiwe kwa kuchapwa mabao 3-2 dhidi ya West Ham United. Licha ya Thiago Silva kuanza kupachika bao dakika ya 28 halikuweza kuwatoa kwenye reli West Ham kwa kuwa waliweka usawa dakika ya 40 kupitia kwa Manuel Lanzini ambaye alifunga kwa mkwaju wa penalti. Chelsea ilitumia dakika nne kuandika…