
SIMBA NDANI YA DAR,KAZI BADO IPO
MSAFARA wa viongozi wa Simba pamoja na wachezaji leo Machi 22,2022 wamewasili salama Dar wakitokea Benin walipokuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya ASEC Mimosas. Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0 na kupoteza pointi tatu muhimu. Wakiwa ni wawakilishi pekee kwenye Kombe la Shirikisho wanabaki na…