
YANGA:HAO SIMBA NI WAKAWAIDA TU
UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kwamba wapinzani wao Simba ni wa kawaida, hivyo hawana hofu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, 2022. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga, amesema wachezaji wao wapo tayari na wanatambua kwamba mchezo huo ni muhimu kupata pointi tatu ili kuufikia ubingwa wa ligi hiyo. “Ipo wazi…