
WAMEANZA MSIMU KWA MAJANGA MASTAA HAWA
TAYARI mbio za kusaka ushindi kwenye Ligi Kuu Bara zinaendelea huku wachezaji wengine wakianza kwa majanga ya hapa na pale hali inayowafanya wasiwepo kwenye mechi za ushindani. Wapo wengine ambao walianza msimu lakini majukumu waliyopewa kwao yaliwapa matokeo tofauti na kile ambacho wengi walikuwa wanatarajia. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa ambao wameanza msimu kwa majanga…