Saleh

UJUMBE WA BANGALA NA DJUMA KWA COASTAL UNION HUU HAPA

YANNICK Bangala na Djuma Shaban mabeki wa Yanga wameweka wazi kwamba kesho watapambana mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kufanikiwa kutinga hatua ya fainali. Kesho inatarajiwa kukutana na Coastal Union kwenye mchezo wa…

Read More

NYOTA KUTOKA EVERTON KUIBUKIA TOTTENHAM

KLABU ya soka ya Totenham Hotspurs imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Everton na timu ya Taifa ya Brazil Richarlison kwa ada ya paundi milioni 50.  Kwa mujibu wa mwandishi wa Habari za michezo anayeshughulika na taarifa za usajili barani humo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Totenham wamefanikiwa kutoa kitita hicho huku Richarlison akifanikiwa pia…

Read More

MORRISON ASIMULIA SAKATA ZIMA KUONDOLEWA SIMBA, UGOMVI NA CEO, TRY AGAIN -VIDEO

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchezaji, Benard Morrison, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayomuhusu ikiwemo sababu za kuondoka Simba na klabu anayoelekea. “Walinipa mapumziko maana nilikataa kusaini mkataba mpya, kama ningecheza Simba miaka 5 au 10 alafu mwisho wa siku nikarudi Ghana sina hela au kumpgia mwenyekiti naomba hela kuisaidia familia yangu sio kitu kizuri”…

Read More

NYOTA TANZANIA APATA DILI UBELGIJI

KIUNGO Novatus Dismas ambaye ni winga wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweza kupata dili la kujiunga na Klabu ya Zulte Waregen. Kiungo huyo aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Azam FC na alicheza pia katika Klabu ya Biashara  United ambayo imeshuka daraja msimu wa 2021/22 baada ya kupoteza kwa kufungwa mabao 4-1 mbele…

Read More

LIGI IMEFIKA UKINGONI,HIZI HAPA ZIMESHUKA,YANGA REKODI

MSIMU wa 2021/22 umekamilika ambapo mbivu na mbichi zimejulikana. Biashara United ya Mara itacheza Champioship msimu ujao ikiungana na Mbeya Kwanza ya Mbeya. Mtibwa Sugar wao watacheza mtoano na Tanzania Prisons ili kusaka timu itakayobaki ndani ya ligi. Matokeo yapo namna hii:-  Kagera 0-0 Polisi Tanzania. Mbeya Kwanza 0-0 Simba, Yanga 1-0 Mtibwa  mtupiaji ni Dennis Nkane…

Read More

MATOKEO YA MECHI ZA LEO

LIGI Kuu Tanzania Bara leo inagota ukingoni ambapo mechi zinachezwa kwa mara ya mwisho msimu wa 2021/22. Matokeo kwa sasa ikiwa mapumziko yapo namna hii: Yanga 0-0 Mtibwa Sugar Mbeya City 0-1 Namungo Ruvu Shooting 1-0 Prisons Coastal Union 1-1 Geita Gold Azam FC 1-0 Biashara United Kagera 0-0 Polisi Tanzania Mbeya Kwanza 0-0 Simba…

Read More

ISHU YA KUPANGA MATOKEO ISIPEWE NAFASI

NYAKATI za mashaka kwa sasa kwa baadhi ya timu na mashabiki ni sasa hasa kutokana na kushindwa kupata matokeo kwenye mechi ambazo walicheza mzunguko wa kwanza. Ukurasa wa mwisho kwa mechi ambazo zitachezwa utaamua nani atakuwa nani baada ya mwisho wa msimu kutokana na kila timu kuhitaji pointi tatu. Mbeya Kwanza asanteni kwa kuja nadhani…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA

KIKOSI cha Simba chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mbeya Kwanza. Hiki hapa kikosi kitakachoanza:- Beno Kakolanya Jummsone Gadiel Onyango Kenned Lwanga Kassim Nyoni Kibu Banda Mhilu Akiba Aly Inonga Bocco Hassan Shaffi

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MTIWA SUGAR

LEO Juni 29 mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga wanakamilisha mzunguko wa 30 kwa kucheza na Mtibwa Sugar. Hiki hapa kikosi cha Yanga:- Mshery Kibwana Bryson Mwamnyeto Bacca Feisal Farid Jesus Ambundo Kaseke Mayele Akiba Johora Boxer Yassin Shaibu Balama Ushindi Nkane Makambo Yusuph

Read More

YANGA YATOA TAMKO ZITO CAF, WATAKA KUWEKA HISTORIA MPYA

KUELEKEA mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, uongozi wa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Yanga umechimba mkwara mzito kwa kusema tayari umeanza kufanya maandalizi mazito ya ndani na nje ya uwanja kuhakikisha wanaandika rekodi ya kufika mbali katika michuano hiyo. Yanga tayari imekata tiketi ya uwakilishi wa Tanzania katika michuano ya…

Read More