
NUSU FAINALI YA KUKATA NA SHOKA LEO KOMBE LA DUNIA
UFARANSA na Morocco wanakutana kwa mara ya kwanza kwenye kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia itakayopigwa leo Jumatano kwenye Dimba la Al Bayt huko mjini Al Khor nchini Qatar. Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo wanakutana na miamba kutoka Afrika ambayo imeweka rekodi ya kufikia hatua hiyo kwa mara ya kwanza. Wababe…