
CHAMA AMVUTA STARAIKA MZAMBIA SIMBA SC,YANGA YAMBAKISHA JOB
CHAMA amvuta straika Mzambia Simba, Yanga yamabakisha Job ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
CHAMA amvuta straika Mzambia Simba, Yanga yamabakisha Job ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
MZEE wa spidi 120 Tuisila Kisinda kuna hatihati ya kuanza kwenye mchezo wa kesho kutokana na kutokuwa fiti. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kesho Desemba 20,2022 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union. Kwa mujibu wa Cedrick Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo…
SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa watafanya usajili kwenye eneo la ushambuliaji huku wakiwataja Erasto Nyoni na Gadiel Michael
NYOTA Lionel Messi aliiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa kuwashinda mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya sare ya 3-3 ndani ya dakika 120. Katika mchezo huo ambao utaingia kwenye historia ya kuwa miongoni mwa mchezo mkubwa wa fainali kupata kuchezwa kwa vigogo hao wawili Uwanja wa Lusail Iconic….
SEPTEMBA 12,2022 Katibu Mkuu wa Coastal Union, Omar A.S Ayoub alimtambulisha kocha Yusuf Chipo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Chipo alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa timu hiyo ambapo alichukua mikoba ya Juma Mgunda anayeinoa Simba. Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo kwa sasa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo ili aweze…
Mfanyabiashara maarufu, mwanasiasa na aliyekuwa gavana wa mkoa wa Katanga, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi, ametangaza kwamba atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka ujao 2023. Katumbi, ambaye ni kiongozi wa chama cha Together for change yaani pamoja kwa ajili ya mabadiliko, alikuwa katika muungano mmoja wa kisiasa na rais wa sasa…
Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) kwa furaha kubwa wamepokea msaada wa fimbo za kutembelea “White canes” kutoka Meridianbet Tanzania ikiwa ni moja ya utamaduni wa kampuni hiyo kuyashika mkono makundi yenye mahitaji maalum pamoja na jamii kwa ujumla kwa kutoa misaada mbalimbali. Akitoa ushuhuda wake akiwa haamini kile kilichotokea, Katibu wa Chama hicho ndugu Iddi…
TIMU ya Taifa ya Argentina imekabidhiwa taji lake leo baada ya kushinda Kombe la Dunia 2022 Qatar likiwa ni la tatu kwao. Ushindi wao wa penalti 4-2 dhidi ya Timu ya Taifa ya Ufaransa umepeleka furaha kwao huku maumivu yakiwa kwa wapinzani wao. Lionel Messi nahodha wa Argentina ametwaa tuzo ya mpira wa dhahabu huku…
TIMU ya Taifa ya Argentina inayoongozwa na Lionel Messi imetwaa taji la Kombe la Dunia Qatar 2022 kwa ushindi wa penalti 4=2 dhidi ya Ufaransa ya Kylian Mbappe. Ufarasa walikuwa ni mabingwa watetezi wamevuliwa taji lao leo kwenye mchezo wakukata na shoka ambao umeshuhusia hat trick kutoka kwa Mbape. Mara ya mwisho Argentina kutwaa taji…
MWAMBA Kibu Dennis leo Desemba 18,2022 amefungua akaunti yake ya mabao kwenye Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita Gold 0-5 Simba nyota huyo katupia bao moja dakika ya 89. Bao hilo ametupia akitumia pasi ya kiungo namba moja wa pasi za mwisho ndani ya Simba Clatous Chama aliyetoa kwa…
NI Szymon Marciniak raia wa Poland ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia leo Desemba 18,2022. Ni Argentina dhidi ya Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la la Dunia. Marciniak mwenye maiak 41, amekuwa mwamuzi wa FIFA tangu 2011 na fainali itakuwa mechi yake ya tatu huko Qatar,…
POLISI Tanzania wamebainisha kuwa sababu kubwa iliyowafanya wakapoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Yanga ni kupoteza umakini kwenye kipindi cha pili
MABAO mawili yamepachikwa ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Mwanza. Ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba unasoma Geita Gold 0-2 Simba. Ni John Bocco nahodha wa Simba amepachika bao la kuongoza dakika ya 11 kisha kamba ya pili ni mali ya Clatous Chama. Chama amepachika bao hilo dakika ya…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umezifungia pointi za vigogo wa Kariakoo,Yanga na Simba za mzunguko wa kwanza wanasubiri nyingine. Azam chini ya Kali Ongala imekuwa na mwendo bora ambapo kwenye mechi 8 mfululizo ilisepa na pointi 24 imeanza mzunguko wa pili kwa sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar. Ofisa Habari…
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Geita Gold, Uwanja wa CCM Kirumba Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Inonga Kanoute Chama Mzamiru Bocco Phiri Sakho
MWENDELEZO mzuri wa kucheka na nyavu upo kwenye miguu ya Fiston Mayele kinara wa utupiaji mabao ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ametupia mabao 11. Alipowatungua Polisi Tanzania hakushangilia kwa mtindo wake wa kutetema bali alionekana kwa kitendo chake akipiga simu kisha akaongea na kuanza kushangilia. Wanasema alikuwa anawapigiwa watani zake wa jadi pale Mwanza…
WAKATI Klabu ya Simba ikiendelea kupewa asilimia nyingi za kumrejesha winga wao wa zamani raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, uongozi wa Yanga, umedaiwa kuvamia dili hilo na kutaka kumshusha mwamba huyo Jangwani. Luis aliachana na Simba Agosti 26, mwaka jana na kujiunga na timu ya Al Ahly ya Misri ambayo baadaye ilimtoa kwa mkopo katika…