
AZAM FC YAFUNGA MWAKA KIBABE
UBAO wa Uwanja wa Azam Compex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 6-1 Mbeya City na kuwafanya matajiri hao kufunga mwaka kibabe. ni Sopu alitupia kambani mabao mawili, Prince Dube, Keneth Muguna ,Nado na Mkandala walitupia bao mojamoja. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex ulikuwa ni wa kufungia mwaka 2022. Bao la Meya…