
AZAM FC YAPOTEZA MCHEZO WA KIMATAIFA
KWENYE mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Al Hilal uliochezwa Januari 31, timu hiyo ilipoteza mchezo wake. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 0-1 Al Hilal. Bao pekee la ushindi kwa Al Hilal lilipachikwa dakika ya 45 kupitia kwa Mohamed Abdelrahman ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo. Huo…