MWANA FA:NILIONA MABAO SABA KWA SIMBA
MWANA FA amesema kuwa aliona nafasi saba za Simba kufunga lakini juhudi zao zilikwama na mwisho mfungaji akawa ni Clatous Chama jambo ambalo ni pongezi kwa timu kupata pointi tatu. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa dakika 90 zilizomsa Simba 1-0 Vipers FC ya Uganda. Mwana FA amesema:”Niliona namna wachezaji ambavyo mlikuwa mnapambana kusaka…