Saleh

SIMBA KAMILI KUIVAA HOROYA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Februari 11,2023. Mchezo huo ni wa hatua ya makundi ambapo ni msako wa pointi tatu muhimu kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na…

Read More

YANGA HAWANA JAMBO DOGO WAANZA MAZOEZI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga hawana jambo dogo baada ya kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo huo. Msafara wa wachezaji 27 ulikwea pipa Februari 7 kwa ajili ya kuanza safari kuelekea Tunisia wakipitia Dubai ambapo kwenye msafara wao walikuwa wameongozana na madaktari wao pia. Madaktari wa Yanga…

Read More

MWISHO WA MJADALA, MOROCCO INATOSHA AFCON 2025

Saleh Ally, Casablanca NOVEMBA mwaka jana wakati wa Fainali za Ligi ya Mabingwa ya Wanawake iliyofanyika nchini hapa, Rais wa Caf, Patrice Motsepe aliwakaribisha Morocco kuingia kuomba kuandaa mashindano ya Afcon mwaka 2025. Motsepe hakuwa na choyo katika maneno yake, alieleza wazi ambavyo amekuwa akivutiwa na Morocco inavyojipanga katika masuala kadhaa ya soka lakini pia…

Read More

SIMBA KAMILI KUIKABILI HOROYA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Horoya ambayo ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Jumamosi hii ya Februari 11, 2023 nchini Guinea. Tayari kikosi cha Simba mapema alfajiri ya leo kilikwea pipa kuwafuata wapinzani wao kikiwa na wachezaji wake…

Read More

YANGA WAZIDI KUTANUA ANGA KIMATAIFA

RAIS wa Yanga, Eng Hersi Said ameitembelea Klabu ya Royal FC inayoshiriki Ligi daraja la tatu kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu. Mmoja wa wamiliki wa Royal FC, iliyoanzishwa mwaka huu, Ali Mohammed Bujsaim, miongoni mwa marefa wenye heshima kubwa duniani. Refa huyo ana rekodi ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia mara tatu [1994,1998,2022]….

Read More

TRY AGAIN USO KWA USO NA RAIS FIFA

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino akiwa na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene baada ya kushiriki moja ya vipindi vinavyoendelea kwenye kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu inayotolewa na FIFA (Diploma in Club Management). Kozi hiyo inafanyika mjini Tangier, Morocco. Try Again ni mmoja wa wajumbe watatu kutoka Afrika…

Read More

Expanse Studios na Meridianbet Kuja na Sloti Mpya

Expanse Studios, mtengeneza programu anayekua kwa kasi zaidi katika michezo ya kasino mtandaoni ambayo mingi unaipata Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, anafuraha kutangaza ushiriki wake ujao katika ICE London 2023. Expo inayoongoza duniani kwa michezo ya kubahatisha. Tukio la kihistoria, litafanyika kwanzia 7-9 Februari 2023 huko ExCeL London, eneo maalum la kuendesha mapato kupitia ufumbuzi wa…

Read More

KIMATAIFA SHUGHULI NI KUBWA MIPANGO MUHIMU

KUTABIRIKA kwa matokeo hakuna kwenye ulimwengu wa soka kutokana na kila timu kujipanga kwa umakini kupata ushindi. Iwe ni nyumbani ama ugenini kwa sasa kila timu ina nafasi ya kupata matokeo hasa kwenye mechi za kimataifa ambazo ufuatiliaji wake huwa ni kwa ukaribu. Wale ambao hawajaanza maandalizi kwenye mechi za kimataifa kwa sasa kazi ni…

Read More