
MASTAA AZAM FC WAREJEA WAANZA KAZI
MASTAA wa Azam FC waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wamerejea kambini na kuanza mazoezi na wachezaji wengine. Nyota wawili wa Azam walikuwa kwenye kikosi cha Stars ambacho kilikuwa na kazi ya kusaka pointi sita dhidi ya Uganda kuwania kufuzu Afcon 2023. Ni Abdul Suleiman, ‘Sopu’ na Nahodha msaidizi, Sospeter…